

Lugha Nyingine
China yuko tayari kurusha chombo cha Shenzhou-19 kwenda anga ya juu (7)
(Tovuti ya Gazeti la Umma) Oktoba 23, 2024
BEIJING –Chombo cha kubeba wanaanga kwenda anga ya juu cha Shenzhou-19 na roketi ya kukibeba chombo hicho ya Long March-2F zimehamishwa hadi eneo la urushaji, Shirika la Anga ya Juu la China (CMSA) limesema jana Jumanne.
Kwa mujibu wa CMSA, vifaa kwenye eneo la urushaji viko katika hali nzuri, huku ukaguzi wa kazi za kabla ya urushaji na majaribio ya pamoja vitafanywa kama ilivyopangwa.
Chombo hicho kitarushwa kwenda anga ya juu katika wakati unaofaa siku za karibuni, CMSA imesema.
(Wahariri wa tovuti:Zhou Linjia,Deng Jie)
Kuhusu Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma