Cote d'Ivoire yaanza kurekebisha daftari la orodha ya wapiga kura kwa ajili ya uchaguzi wa rais

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Oktoba 23, 2024
Cote d'Ivoire yaanza kurekebisha daftari la orodha ya wapiga kura kwa ajili ya uchaguzi wa rais
Mfanyakazi akimwekea alama za vidole mpigakura katika kituo cha kuandikisha wapigakura mjini Abidjan, Cote d'Ivoire, tarehe 22 Oktoba 2024. (Picha na Yvan Sonh/Xinhua)

Marekebisho ya daftari la orodha ya wapiga kura nchini Cote d'Ivoire yameanza Oktoba 19 kwa ajili ya maandalizi ya uchaguzi wa rais mwakani. Tume Huru ya Uchaguzi ya Cote d'Ivoire (CEI) inakadiria kwamba watu wapya wanaotoa ombi la kujiandikisha watafikia milioni 4.5 hadi mwisho wa zoezi hilo, ambalo limeanza Oktoba 19 na litaendelea hadi Novemba 10. 

(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Deng Jie)

Picha