

Lugha Nyingine
Maonyesho ya 136 ya Guangzhou ya Kipindi cha Pili yafunguliwa (2)
(Tovuti ya Gazeti la Umma) Oktoba 24, 2024
![]() |
Mnunuzi akichagua bidhaa kwenye Maonyesho ya 136 ya Uagizaji na Uuzaji Nje Bidhaa ya China yanayofanyika Guangzhou, Mkoa wa Guangdong, Kusini mwa China, Oktoba 23, 2024. (Xinhua/Lu Hanxin) |
Maonyesho ya 136 ya Uagizaji na Uuzaji Nje Bidhaa ya China ya kipindi cha pili, yamefunguliwa mjini Guangzhou, Mkoa wa Guangdong, Kusini mwa China jana Jumatano yakilenga kuonyesha bidhaa kama vile vyombo vya umeme nyumbani, zawadi, mapambo, vifaa vya ujenzi na samani.
(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)
Kuhusu Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma