Katika Picha: Sehemu ya mlipuko wa Gari la kubeba Mafuta huko Wakiso, Uganda

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Oktoba 24, 2024
Katika Picha: Sehemu ya mlipuko wa Gari la kubeba Mafuta huko Wakiso, Uganda
Picha hii iliyopigwa Oktoba 22, 2024 ikionesha sehemu ya mlipuko wa gari la kubeba mafuta katika wilaya ya kati ya Wakiso, Uganda. (Picha na Hajarah Nalwadda/Xinhua)

Watu wasiopungua 11 wamefariki na wengine kadhaa wamejeruhiwa baada ya lori lililokuwa limebeba mafuta kulipuka na kuwaka moto katika wilaya ya kati ya Wakiso nchini Uganda, jeshi la polisi limesema kwenye taarifa ya hivi karibuni.

(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)

Picha