Utengenezaji na upandaji chai ya Liubao, waleta ustawi Mjini Wuzhou, Kusini mwa China

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Oktoba 28, 2024
Utengenezaji na upandaji chai ya Liubao, waleta ustawi Mjini Wuzhou, Kusini mwa China
Wafanyakazi wakihifadhi chai kwenye kampuni mjini Wuzhou, Mkoani Guangxi, kusini mwa China, Oktoba 25, 2024. (Xinhua/Huang Xiaobang)

Chai ya Liubao, ambayo chai nyeusi ya Kichina yenye sifa maarufu kutokana na harufu yake nzuri na inayodumu kwa muda mrefu na uwezo wa kimatibabu, ina historia ya miaka zaidi ya 1,500. Mji wa Wuzhou, mkoani Guangxi, kusini mwa China, maarufu kwa chai ya Liubao, una mashamba ya chai yenye ukubwa wa hekta kama 26,670, huku thamani yake ya uzalishaji ikizidi yuan bilioni 20 (sawa na dola za Kimarekani kama bilioni 2.8).

(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)

Picha