

Lugha Nyingine
Maonyesho ya 31 ya Teknolojia ya Hali ya Juu ya Kilimo ya Yangling ya China yaanza kaskazini magharibi mwa China
(Tovuti ya Gazeti la Umma) Oktoba 28, 2024
![]() |
Watu wakitembelea Maonyesho ya 31 ya Teknolojia ya Hali ya Juu ya Kilimo ya Yangling ya China mjini Yangling, Mkoa wa Shaanxi, kaskazini magharibi mwa China, Oktoba 25, 2024. |
Yakionyesha mafanikio ya ubunifu katika teknolojia ya hali ya juu ya kilimo, Maonyesho ya 31 ya Teknolojia ya Hali ya Juu ya Kilimo ya Yangling ya China yameanza rasmi mjini Yangling, Mkoa wa Shaanxi, kaskazini magharibi mwa China siku ya Ijumaa,Oktoba 25. Maonyesho hayo yataendelea hadi Oktoba 29. (Xinhua/Zou Jingyi)
(Wahariri wa tovuti:Zhou Linjia,Zhao Jian)
Kuhusu Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma