Mandhari ya majira ya mpukutiko ya Hifadhi ya Taifa ya Ardhi Oevu ya Huaxi huko Guiyang, China (2)

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Oktoba 28, 2024
Mandhari ya majira ya mpukutiko ya Hifadhi ya Taifa ya Ardhi Oevu ya Huaxi huko Guiyang, China
Watu wakifurahia onyesho la wafanyakazi wa kujitolea katika Hifadhi ya Taifa ya Ardhi Oevu ya Huaxi huko Guiyang, mji mkuu wa Mkoa wa Guizhou, Kusini Magharibi mwa China, Oktoba 27, 2024. (Xinhua/Tao Liang)
(Wahariri wa tovuti:Zhou Linjia,Zhao Jian)

Picha