Kazi ya utafiti wa kisayansi wa fani mbalimbali yakamilika mkoani Xinjiang, China (4)

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Oktoba 29, 2024
Kazi ya utafiti wa kisayansi wa fani mbalimbali yakamilika mkoani Xinjiang, China
Mtaalamu wa utafiti wa kisayansi akipiga picha ya magofu ya kale kwa simu ya mkononi katika Tarafa ya Muji ya Wilaya ya Akto, Eneo la Kirgiz la Mji wa Kizilsu, Mkoa unaojiendesha wa Kabila la Wauygur wa Xinjiang, Kaskazini-Magharibi mwa China, Oktoba 25, 2024. (Xinhua/Ding Lei)

Kazi ya siku nane ya utafiti wa kisayansi wa fani mbalimbali iliyoanza Oktoba 19 huko Atux, Mkoa unaojiendesha wa Kabila la Wauygur wa Xinjiang, Kaskazini-Magharibi mwa China imekamilika rasmi. Wakati wa kazi hiyo, watafiti wamefanya uchunguzi katika njia za kale, maeneo ya kihistoria na alama muhimu za kijiografia katika Eneo la Kirgiz la Mji wa Kizilsu, mkoani humo. 

(Wahariri wa tovuti:Zhou Linjia,Zhao Jian)

Picha