Lugha Nyingine
Wanafunzi katika Mji wa Handan mkoni Hebei, China wajionea mvuto wa sayansi na teknolojia, kuchochea ndoto za kisayansi
Wanafunzi wa Shule ya Msingi ya Barabara ya Nonglin katika Eneo la Hansan, Mji wa Handan, mkoani Hebei, China wakitazama onyesho la roboti inayocheza muziki, Oktoba 29, 2024. |
Siku ya Jumanne, Oktoba 29, 2024, wanafunzi kutoka Shule ya Msingi ya Barabara ya Nonglin katika Wilaya ya Hansan, Mji wa Handan, Mkoani Hebei, kaskazini mwa China walifanya shughuli yenye mada ya "Hisi Haiba ya Sayansi na Teknolojia, Chochea Ndoto za Kisayansi". Wafanyakazi wa Kituo cha Elimu ya Akili Mnemba (AI) cha Handan walionyesha wanafunzi roboti za kucheza muziki, droni, mbwa roboti, n.k. ikichochea shauku yao katika sayansi, kuchochea ndoto za kisayansi, na kuhamasisha fikra bunifu za vijana katika sayansi na teknolojia. (Hao Qunying/vip.people.com.cn)
Kazi ya utafiti wa kisayansi wa fani mbalimbali yakamilika mkoani Xinjiang, China
Mandhari ya majira ya mpukutiko ya Hifadhi ya Taifa ya Ardhi Oevu ya Huaxi huko Guiyang, China
Barabara Kuu ya Jianhe-Liping yafunguliwa kwa matumizi ya umma kusini magharibi mwa China
Wanariadha wa Ethiopia washinda mbio za Marathon za Amsterdam
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma