Lugha Nyingine
Siku ya Miji Duniani yaadhimishwa mjini Shanghai, China
(Tovuti ya Gazeti la Umma) Novemba 01, 2024
Maadhimisho ya China ya Siku ya Miji Duniani Mwaka 2024 na Mkutano wa Kimataifa wa Miji ya Malengo ya Maendeleo Endelevu (SDG Cities) Mwaka 2024 kwa pamoja vimefanyika mjini Shanghai, Mashariki mwa China, Oktoba 31.
Siku ya Miji Duniani ilianzia kwenye Maonyesho ya Dunia ya Shanghai Mwaka 2010, hasa Azimio la Shanghai, ambalo lilihamasisha wazo la "Mji Bora, Maisha Bora." Ikiwa inaadhamishwa kila mwaka tarehe 31 Oktoba, siku hiyo huhimiza mazungumzo ya kimataifa kuhusu miji.
Yakiwa na kaulimbiu za "Kujenga Miji Inayotilia Maanani Watu kwa Maisha Bora", mwaka huu matukio ya Siku ya Miji Duniani Mwaka 2024 mjini Shanghai yamejumuisha hafla ya ufunguzi, mfululizo wa majukwaa, maonyesho na kujikita katika mada mbalimbali.
(Wahariri wa tovuti:Zhou Linjia,Zhao Jian)
Kuhusu Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma