Eneo lenye mandhari nzuri la Yading lavutia watalii mkoani Sichuan nchini China

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Novemba 04, 2024
Eneo lenye mandhari nzuri la Yading lavutia watalii mkoani Sichuan nchini China
Picha hii iliyopigwa Oktoba 31, 2024 ikionyesha mlima wa theluji unaoonekana kutoka eneo lenye mandhari nzuri la Yading katika Wilaya ya Daocheng ya Eneo linalojiendesha la kabila la WaTibet la Garze, Mkoa wa Sichuan, kusini-magharibi mwa China. (Xinhua/Xu Bingjie)

Mandhari ya majira ya mpukutiko ya eneo lenye mandhari nzuri la Yading katika Wilaya ya Daocheng ya Eneo linalojiendesha la Kabila la WaTibet la Garze imeingia kipindi cha kupendeza zaidi hivi karibuni, na kuvutia watalii kujionea uzuri wake.

Katika miaka ya hivi karibuni, mamlaka za eneo hilo zimefanya jitihada za kuboresha miundombinu na usimamizi ili kukidhi mahitaji ya watalii.

Kufikia sasa mwaka huu, eneo hilo limevutia zaidi ya watalii 860,000.

(Wahariri wa tovuti:Zhou Linjia,Renato Lu)

Picha