

Lugha Nyingine
Ujenzi wa Jengo la Mnara la alama ya Mji Mpya wa Alamein wa Misri uliofanywa na China wakamilika (2)
(Tovuti ya Gazeti la Umma) Novemba 04, 2024
![]() |
Picha hii iliyopigwa Oktoba 31, 2024 ikionyesha hafla ya kukabidhiwa kwa jengo la mnara la alama ya Mji Mpya wa Alamein nchini Misri. |
Waziri wa Makazi wa Misri Sherif El-Sherbiny ametangaza kuwa, ujenzi wa Jengo la Mnara ambalo ni alama ya mji lililoko kwenye kiini cha mji mpya wa Alamein limekamilika nchini Misri.
Mradi huo wa Jengo la Mnara lililoko kiini cha mji wa Alamein, ni sehemu muhimu ya ujenzi wa Mji Mpya wa Alamein unaohusisha majengo manne ya makazi yenye urefu wa juu na jengo la mnara la alama ya mji. Ujenzi wa majengo manne ya makazi umemalizika tokea Januari mwaka huu. (Xinhua/Ahmed Gomaa)
(Wahariri wa tovuti:Zhou Linjia,Renato Lu)
Kuhusu Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma