Rais Xi Jinping afanya ukaguzi na utafiti katika Mkoa wa Hubei

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Novemba 06, 2024
Rais Xi Jinping afanya ukaguzi na utafiti katika Mkoa wa Hubei

Kuanzia mchana ya Novemba 4 hadi asubuhi ya Novemba 5, Katibu Mkuu Xi Jinping alitembelea kwenye Jumba la Makumbusho la Wilaya ya Yunmeng, mabanda ya mboga ya Mji Mdogo wa Panjiawan wa Wilaya ya Jiayu, na Kijiji cha Siyi katika Miji ya Xiaogan na Xianning ya Mkoa wa Hubei, ambapo amefahamishwa kuhusu hali ya kuimarisha uhifadhi, utafiti na utumiaji wa mabaki ya kale ya utamaduni, na kuhimiza ustawishaji wa vijiji.

(Wahariri wa tovuti:Zhou Linjia,Zhao Jian)

Picha