Maonyesho ya 7 ya Kimataifa ya Uagizaji Bidhaa kutoka nje ya China (CIIE) yafunguliwa (6)

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Novemba 06, 2024
Maonyesho ya 7 ya Kimataifa ya Uagizaji Bidhaa kutoka nje ya China (CIIE) yafunguliwa
Picha iliyopigwa Novemba 5 ikionyesha vifaa kwenye kibanda cha LEGO katika eneo la maonyesho ya bidhaa za matumizi la maonyesho ya 7 ya CIIE. (Picha na Wang Xiang / People’s Daily Online)

Siku hiyo, Maonesho ya 7 ya Kimataifa ya Uagizaji Bidhaa kutoka nje ya China yalifunguliwa katika Kituo cha Kitaifa cha Maonyesho na Mikutano (Shanghai). Ukubwa wa eneo la maonyesho la CIIE unafikia mita za mraba zaidi ya 420,000, na kushirikishwa na kampuni 297 za Fortune 500 na zinazoongoza na vikundi karibu 800 kutoka nchi mbalimbali, idadi ambayo ni nyingi kuliko awamu zilizopita.

(Picha na Zhang Cheng / People’s Daily Online)

(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)

Picha