Mkutano wa Masomo ya Vitabu Maarufu vya Kale vya Dunia wafanya Maonesho maalumu ya Sanaa ya Kale

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Novemba 07, 2024
Mkutano wa Masomo ya Vitabu Maarufu vya Kale vya Dunia wafanya Maonesho maalumu ya Sanaa ya Kale
Tarehe 6, Novemba, wasanii wakifanya maonesho ya ngoma ya China ya “Confucius”.

Siku hiyo, mkutano wa kwanza wa masomo ya vitabu maarufu vya kale vya dunia ulifanya maonesho maalumu ya kiutamaduni kwenye Jumba la Makumbusho la kitaifa la Beijing, ambapo wasanii wa Kundi la Opera na Ngoma la China walionesha uzuri wa michezo ya sanaa ya China na Ulaya.

(Picha na Zhang Chenlin/Xinhua)

(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)

Picha