Mji wa Zhuozhou waongeza umaarufu na ushindani wa sokoni wa chapa za mchele zinazozalishwa mkoani Hebei, kaskazini mwa China

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Novemba 07, 2024
Mji wa Zhuozhou waongeza umaarufu na ushindani wa sokoni wa chapa za mchele zinazozalishwa mkoani Hebei, kaskazini mwa China
Mkulima wa ushirika wa upandaji huko akivuna mpunga katika shamba la mpunga kijijini Xidoujiazhuang, Mjini Zhuozhou, Mkoani Hebei, kaskazini mwa China, Novemba 6, 2024.

Mji wa Zhuozhou una historia ndefu ya kilimo cha mpunga. Katika miaka ya hivi karibuni, kwa kutegemea mashirika ya biashara ya kienyeji kama vile kampuni kubwa zinazoongoza za kilimo, vyama vya ushirika, na mashamba ya familia, serikali ya mtaa imeendelea kukuza shughuli za kulima mpunga ili kuongeza umaarufu na ushindani wa sokoni wa chapa zake mpunga, na kuongeza mapato ya wakulima. (Xinhua/Mu Yu)

(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)

Picha