Lugha Nyingine
Nyama ya kukaushwa yatoa harufu nzuri mwanzoni mwa majira ya baridi huko Sanjiang, Guangxi
(Tovuti ya Gazeti la Umma) Novemba 08, 2024
Mwanakijiji akitengeneza bata wa kukaushwa katika Kijiji cha Danzhou katika Mji Mdogo wa Danzhou, Wilaya inayojiendesha ya Kabila la Wadong ya Sanjiang, Novemba 7. |
Katika Wilaya inayojiendesha ya Kabila la Wadong ya Sanjiang, wenyeji wana mila na desturi ya kijadi ya kutengeneza nyama ya kukaushwa kama vile: nyama ya kukaushwa ya nguruwe, soseji ya kukaushwa na bata wa kukaushwa mwanzoni mwa majira ya baridi. Nyama ya kukaushwa imekuwa vyakula maalumu vya Kabila la Wadong katika Wilaya ya Sanjiang, na kuvutia watalii wengi kununua kila mwaka. Wakati huo huo, watu wa Kabila la Wadong pia watauza nyama ya kukaushwa sokoni na mtandaoni ili kuongeza mapato yao. (Picha na Zhang Ailin/Xinhua)
(Wahariri wa tovuti:Zhou Linjia,Zhao Jian)
Kuhusu Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma