

Lugha Nyingine
Chuo cha Confucius nchini Djibouti chahimiza mafunzo ya Lugha ya Kichina na mawasiliano ya kiutamaduni
(Tovuti ya Gazeti la Umma) Novemba 08, 2024
![]() |
Mkuu wa Chuo cha Confucius nchini Djibouti Zou Yanwu akiongea na mwenzake katika Mji wa Djibouti, nchini Djibouti, Novemba 6, 2024. |
Chuo cha Confucius nchini Djibouti kilichozinduliwa rasmi mwezi Machi, Mwaka 2023 kilianzishwa pamoja na Chuo Kiluu cha Ualimu cha Sihcuan cha China na Wizara ya Elimu ya Taifa na Mafunzo ya Kazi za Ufundi ya Djibouti.
Kwa kupitia kutoa mafunzao yanayofaa kwa vijana na watu wa kazi husika, chuo hicho kimehimiza mafunzo ya Lugha ya Kichina nchini Djibouti, kutoa fursa ya kufanya mawasiliano ya kiutamaduni na kuwawezesha wanafunzi kuwa na matarajio ya nafasi za ajira. Chuo hicho kimetoa mafunzo kwa wanafunzi 2,361 tangu kianzishwe.(Xinhua/Wang Guansen)
(Wahariri wa tovuti:Zhou Linjia,Zhao Jian)
Kuhusu Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma