Mandhari ya kando za Barabara ya Sichuan-Xizang Kusini Magharibi mwa China

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Novemba 11, 2024
Mandhari ya kando za Barabara ya Sichuan-Xizang Kusini Magharibi mwa China
Picha iliyopigwa tarehe 9, Novemba 2024 ikionesha barabara ya mwendo kasi ya Lhasa-Linzhi (kushoto) na barabara ya kitaifa ya 318 (G318). (Xinhua/Shen Bohan)

Barabara ya Sichuan-Xizang inayounganisha mkoa wa Sichuan na mkoa unaojiendesha wa Xizang ya China ni barabara kuu ya kuunganisha eneo la uwanda wa juu la China na maeneo ya ndani ya China. Barabara kuu hiyo na barabara mbili za kitaifa G318 na G317 zinaweza kukutana kwenye njia za baaidhi ya sehemu. Barabara kuu hiyo inajulikana kwa kupita milima yenye mizunguko mingi mbalimbali na mazingira magumu ya kijioglafia .

(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)

Picha