Lugha Nyingine
Maonyesho ya 7 ya CIIE yafungwa mjini Shanghai
(Tovuti ya Gazeti la Umma) Novemba 11, 2024
SHANGHAI, Nov. 10 (Xinhua) -- Maonyesho ya 7 ya Kimataifa ya Uagizaji Bidhaa kutoka nje ya China (CIIE) yalihitimishwa mjini Shanghai siku ya Jumapili. Yalishuhudia jumla ya mikataba yenye thamani ya dola za Marekani bilioni 80.01 iliyofikiwa kwa manunuzi ya bidhaa na huduma wa mwaka mmoja, kiasi ambacho ni ongezeko la asilimia 2 ikilinganishwa na mwaka jana.
(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)
Kuhusu Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma