Wuyuan, Jiangxi, China: Miavuli ya karatasi ya Urithi wa Utamaduni Usioshikika inayotengenezwa kwa mikono yawa maarufu sokoni

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Novemba 12, 2024
Wuyuan, Jiangxi, China: Miavuli ya karatasi ya Urithi wa Utamaduni Usioshikika inayotengenezwa kwa mikono yawa maarufu sokoni
Mfanyakazi wa kike akitengeneza mwavuli wa karatasi kwa mikono katika Kiwanda cha Mwavuli wa Karatasi cha Zhuantang katika Tarafa ya Qinghua, Wilaya ya Wuyuan, Mji wa Shangrao, Mkoani Jiangxi, China.

Miavuli ya karatasi ya urithi wa kitaifa wa utamaduni usioshikika wa China katika Wilaya ya Wuyuan, Mkoani Jiangxi yote hutengenezwa kwa mikono, na mchakato wa utengenezaji wake huhitaji takriban michakato 30. Katika miaka ya hivi karibuni, Wilaya hiyo ya Wuyuan imekuwa ikiboresha teknolojia yake kila wakati ya kutengeneza na kuzidisha aina za bidhaa kulingana na mahitaji ya soko, na mauzo yake yamekuwa yakiongezeka muda hadi muda.

(Picha kutoka vip.people.com.cn)

(Wahariri wa tovuti:Zhou Linjia,Zhao Jian)

Picha