Lugha Nyingine
Timu za ndege kivita zasherehekea siku ya kukumbuka kuanzishwa kwa Jeshi la Anga la China kwa Sarakasi za Ndege Kivita angani
(Tovuti ya Gazeti la Umma) Novemba 12, 2024
Timu ya maonyesho ya kurusha ndege za kivita angani kwa sarakasi ya "Agosti 1" ya Jeshi la Anga la China ikifanya mazoezi ya kurusha ndege mjini Zhuhai, Novemba 11. (Picha/VCG) |
Maonesho ya 15 ya kimataifa ya Urukaji kwenye Anga na Anga ya Juu ya China (Airshow China) yamefunguliwa mjini Zhuhai, Mkoani Guangdong, China leo Jumanne, Novemba 12. Jana kabla ya kufunguliwa kwa shughuli hiyo, timu za maonyesho ya sarakasi za ndege za kivita ya “Agosti 1” na "Tai Mwekundu" zilirusha ndege angani kwa sarakasi na kusherehekea mwaka wa 75 tangu kuanzishwa kwa Jeshi la Anga la China kwa namna ya pekee.
(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)
Kuhusu Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma