Mti wa ginkgo wa miaka elfu moja katika Hekalu la Shaolin "uliofunikwa kwa dhahabu" huvutia watalii (4)

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Novemba 13, 2024
Mti wa ginkgo wa miaka elfu moja katika Hekalu la Shaolin
Miti ya ginkgo ya dhahabu ya Hekalu la Shaolin inaandamana na majengo ya kale.

Siku hizi, majani ya mti wa ginkgo wenye umri wa miaka elfu moja katika Hekalu la Shaolin, Songshan, Mji wa Dengfeng, Mkoani Henan yamegeuka manjano, kana kwamba mti huo "umefunikwa kwa dhahabu", ukiingia kwenye msimu bora wa kutazama, na kuvutia idadi kubwa ya watalii kuja kutazama. (Picha na Wang Yi/Chinanews)

(Wahariri wa tovuti:Zhou Linjia,Zhao Jian)

Picha