

Lugha Nyingine
Kampuni ya Chongqing, China inayofanya biashara ya kuuza bidhaa nje yapata ongezeko la mauzo kwenye soko la Latini Amerika (2)
(Tovuti ya Gazeti la Umma) Novemba 15, 2024
![]() |
Wafanyakazi wakifanya kazi kwenye mstari wa kuuganisha pikipiki wa kiwanda cha Kampuni ya Pikipiki ya Chongqing Shineray, Novemba 13, 2024. (Xinhua/Huang Wei) |
Kampuni ya Shineray ni kampuni ya kuuza bidhaa nje ya China, ambayo makao yake makuu yako Chongqing, na mauzo ya bidhaa zake yanalenga zaidi soko la nchi za Latini Amerika.
Tangu mwanzoni mwa mwaka huu, mauzo ya kampuni hiyo ya Brazili yameongezeka kwa zaidi ya asilimia 140 kuliko mwaka uliopita. Wakati huo huo, mauzo yake katika nchi nyingine za Latini Amerika, kama vile Mexico na Ecuador, pia yameongezeka kwa kiasi kikubwa.
(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)
Kuhusu Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma