Mandhari ya Ziwa Banggong Co mkoani Xizang, China

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Novemba 19, 2024
Mandhari ya Ziwa Banggong Co mkoani Xizang, China
Ndege wakiruka juu ya Ziwa Banggong Co katika Wilaya ya Rutog, Eneo la Ngari, Mkoa wa Xizang, kusini magharibi mwa China, Novemba 16, 2024. (Picha na Jiang Fan/Xinhua)
(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)

Picha