Shakwe wanaoruka kwenye Gati Kongwe wavutia watalii Tianjin, China (3)

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Novemba 21, 2024
Shakwe wanaoruka kwenye Gati Kongwe wavutia watalii Tianjin, China
Watalii wakitazama Shakwe kando ya Mto Haihe tarehe 19, Novemba. (Xinhua/Zhao Zishuo)

Wakati wa mwanzo wa majira ya baridi, shakwe wengi wameruka mpaka kwenye Mji wa Tianjin nchini China kutoka eneo la baridi la Siberia. Kwa sasa maelfu ya shakwe wanakaa kwenye gati kongwe la eneo jipya la Binhai la Tianjin, na kuvutia watalii wengi kutembelea gati hilo.

(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)

Picha