Lugha Nyingine
Kampuni za China zang’ara kwenye Maonyesho makubwa zaidi ya Tehama ya Misri
(Tovuti ya Gazeti la Umma) Novemba 21, 2024
Watu wakizungumza kwenye banda la Kampuni ya Hengtong ya China kwenye Maonyesho ya Tehama ya Misri 2024 huko Cairo, Misri, Novemba 20, 2024. (Xinhua/Ahmed Gomaa) |
Kampuni za China zimekuwa zikifuatiliwa kwenye Maonyesho makubwa zaidi ya Tehama nchini Misri (ICT) ya 2024 huko Cairo, zakitafuta fursa za kupanua biashara zao katika eneo la Mashariki ya Kati na Afrika.
Chini ya mada ya “Wimbi lijalo”, maonyesho hayo ya 28 yameonyesha teknolojia za kisasa, ikihusika na maendeleo kwenye sekta ya 5G, suluhu zinazoendeshwa na AI na satelaiti za mawasiliano, ambayo yamevutia wafanyabiashara 400 wa kimataifa na wa huko Misri.
(Wahariri wa tovuti:Zhou Linjia,Zhao Jian)
Kuhusu Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma