Wanyamapori wa Qingdao wapimwa afya kwa ajili ya majira ya baridi

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Novemba 22, 2024
Wanyamapori wa Qingdao wapimwa afya kwa ajili ya majira ya baridi
Daktari wa wanyama akipima afya ya wanyama wa komba huko Qingdao, China Novemba 21. (Picha/Zhang Jingang)

Tangu majira ya baridi yalipoanza nchini China, bustani ya Wanyamapori wa misitu ya Qingdao imewafanyia upimaji wa afya wanyamapori zaidi ya aina mia moja wanaoishi bustani hiyo, ili kuhakikisha wanyama hao wanaweza kuishi kwa usalama na kuwa na afya njema katika majira ya baridi.

(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Deng Jie)

Picha