Teknolojia mpya zavutia watembeleaji kwenye Maonyesho ya “Mwanga wa Mtandao wa Internet” huko Wuzhen, Zhejiang

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Novemba 22, 2024
Teknolojia mpya zavutia watembeleaji kwenye Maonyesho ya “Mwanga wa Mtandao wa Internet” huko Wuzhen, Zhejiang
Watembeleaji wakivutiwa na modeli za ndege zinazoruka kwenye anga ya chini, tarehe 21, Novemba.

Siku hizi, Maonyesho ya “Mwanga wa Mtandao wa Internet” wa Mkutano wa Mtandao wa Internet Duniani 2024 yamekuwa yakifanyika katika Mji wa Wuzhen, Mkoani Zhejiang, na bidhaa za Teknolojia za Akili Bandia zinazoonyeshwa zimevutia watu kwenye kupata uzoefu.

(Picha na Wang Gang/Chinanews)

(Wahariri wa tovuti:Zhou Linjia,Deng Jie)

Picha