Lugha Nyingine
China yarusha kwa mafanikio satalaiti za 4D Gaojing-2 za No.03 na No.04 kwenda anga ya juu
(Tovuti ya Gazeti la Umma) Novemba 25, 2024
IUQUAN - China imerusha roketi ya Long March-2C leo Jumatatu, ambapo roketi hiyo imerushwa majira ya saa 1:39 asubuhi (Saa za Beijing) kutoka Kituo cha Kurushia Satalaiti cha Jiuquan, kaskazini magharibi mwa China na kufanikisha kupeleka satalaiti za 4D Gaogjing-2 No.03 na No.04 kwenye obiti iliyopangwa.
Urushaji huo umetangazwa na mamlaka husika kuwa wenye mafanikio na kamilifu.
Hii ni safari ya 547 ya anga ya juu kwa roketi za mfululizo wa Long March.
(Wahariri wa tovuti:Zhou Linjia,Zhao Jian)
Kuhusu Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma