

Lugha Nyingine
Midoli ya kibunifu ya China ya mnyama panda yapata umaarufu kote duniani (2)
(Tovuti ya Gazeti la Umma) Novemba 25, 2024
![]() |
Mfanyakazi akisafisha mdoli wa panda kabla ya kuufungasha kwenye karakana ya SeeU Panda mjini Chengdu, Mkoa wa Sichuan, kusini-magharibi mwa China, Novemba 21, 2024. (Xinhua/Shen Bohan) |
Katika miaka ya hivi karibuni, kwa kuchukua panda maarufu He Hua, Meng Lan, Xiang Xiang na Fu Bao kama taswira za kielelezo, kampuni kama vile "SeeU Panda" na "Kiwanda cha Panda" katika Mkoa wa Sichuan, kusini-magharibi mwa China zimekuwa zikitengeneza midoli ya panda yenye ufanano wa hali ya juu na panda halisi kwa kutumia modeli za 3D na teknolojia nyingine.
Hadi sasa, midoli zaidi ya 50,000 wa panda iliyotengenezwa na kampuni hizo imeuzwa kwa nchi na maeneo zaidi ya 50 duniani kote.
(Wahariri wa tovuti:Zhou Linjia,Zhao Jian)
Kuhusu Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma