Taihe, Jiangxi, China: Ujenzi wa Daraja la Chengjiang waendelea kwa kasi

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Novemba 27, 2024
Taihe, Jiangxi, China: Ujenzi wa Daraja la Chengjiang waendelea kwa kasi
Ujenzi wa Daraja la Chengjiang katika Wilaya ya Taihe, Mji wa Ji'an, Mkoani Jiangxi, ukiendelea kwa kasi, Novemba 26.

Ujenzi wa Daraja la Chengjiang katika Wilaya ya Taihe, Mji wa Ji'an, Mkoani Jiangxi, China ulikuwa ukiendelea kwa kasi, siku ya Jumanne, Novemba 26, 2024. Mwisho wa mwaka unapokaribia, kitengo cha ujenzi wa Daraja hilo la Chengjiang katika wilaya hiyo ya Taihe, kinatekeleza majukumu kisayansi na kupangilia kwa uangalifu ujenzi huo ili kuhakikisha kazi za ujenzi za mwaka zinakamilika kwa wakati uliopangwa. (Picha kutoka vip.people.com)

(Wahariri wa tovuti:Zhou Linjia,Zhao Jian)

Picha