

Lugha Nyingine
Panda wakiwa kwenye jua la joto vuguvugu la majira ya baridi huko Nanjing, China (5)
(Tovuti ya Gazeti la Umma) Desemba 02, 2024
Wakati wa majira ya baridi, katika Bustani ya Ulimwengu wa Wanyamapori ya Eneo la Mapumziko ya Kitalii la Tangshan, mji wa Nanjing, mkoani Jiangsu, China, panda saba kutoka Kituo cha Uhifadhi na Utafiti wa Panda cha China walikuwa wakitembea na kula kwenye jua la joto vuguvugu, wakivutia watalii kuwatazama.
(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)
Kuhusu Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma