Macao: Mkoa wa kuwepo pamoja kwa tamaduni za Mashariki na Magharibi (5)

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Desemba 04, 2024
Macao: Mkoa wa kuwepo pamoja kwa tamaduni za Mashariki na Magharibi
Mwendesha baiskeli akitembea kwenye Daraja la Governador Nobre de Carvalho huko Macao, kusini mwa China, Novemba 17, 2024. (Xinhua/Jin Liangkuai)

MACAO - Mwaka huu ni maadhimisho ya miaka 25 tangu Macao kurudi katika nchi ya China. Baada ya maendeleo ya miaka hiyo 25 iliyopita , Macao imekuwa eneo lenye vivutio maarufu vya utalii duniani, ambako tamaduni za Mashariki na Magharibi zimekuwepo pamoja kwa miaka zaidi ya 400.

(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)

Picha