Maonyesho ya 20 ya Kimataifa ya Magari ya China (Changsha) yaanza

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Desemba 05, 2024
Maonyesho ya 20 ya Kimataifa ya Magari ya China (Changsha) yaanza
Mfanyakazi (kushoto) akieleza kuhusu hali ya gari kwa mtembeleaji kwenye Maonyesho ya 20 ya Kimataifa ya Magari ya China (Changsha) yanayofanyika huko Changsha, Mkoa wa Hunan, katikati mwa China, Desemba 4, 2024. (Xinhua/Chen Sihan)

Maonyesho ya 20 ya Kimataifa ya Magari ya China (Changsha) ambayo yamepangwa kufanyika kwa siku 6, yakiwa na eneo la maonyesho lenye ukubwa wa mita za mraba 120,000, yameanza rasmi jana Jumatano katika Kituo cha Kimataifa cha Mikutano na Maonyesho cha Changsha, yakionyesha magari zaidi ya 1,000 kutoka chapa zaidi ya 80 za magari. 

(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)

Picha