Sanamu Kubwa ya Theluji “Mr. Snowman” yaonekana rasmi kwa mara ya kwanza ikikaribisha watalii mjini Harbin, China

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Desemba 10, 2024
Sanamu Kubwa ya Theluji “Mr. Snowman” yaonekana rasmi kwa mara ya kwanza ikikaribisha watalii mjini Harbin, China

Jana Jumatatu, Desemba 9, 2024, Sanamu Kubwa ya Theluji "Mr.Snowman" ya Maonyesho ya Theluji ya Kisiwa cha Jua mjini Harbin, katika Mkoa wa Heilongjiang, China imeonekana rasmi kwa mara ya kwanza, ikikaribisha watalii kutoka nchini kote China kutembelea na kupiga picha.

(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)

Picha