

Lugha Nyingine
Ndege ya C919 yafanya safari ya kibiashara kwa mafanikio kwenye Njia ya Guangzhou-Haikou (2)
(Tovuti ya Gazeti la Umma) Desemba 12, 2024
Ndege CZ6786 imepaa kutoka Guangzhou, Mkoani Guangdong, kusini mwa China na kutua Haikou, mji mkuu wa Mkoa wa Hainan wa China majira ya saa 6:57 mchana, ikionyesha mafanyikio ya safari ya kibiashara ya njia ya Guangzhou-Haikou ya Shirika la Ndege la China Southern Airlines kwa kutumia ndege kubwa ya abiria ya C919 iliyoundwa ya China.
(Wahariri wa tovuti:Zhou Linjia,Zhao Jian)
Kuhusu Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma