

Lugha Nyingine
Barabara mpya ya kuvuka baharini yafunguliwa kwa matumizi katika Mkoani Guangdong (4)
(Tovuti ya Gazeti la Umma) Desemba 12, 2024
Barabara ya kuvuka baharini ya Huangmaohai, inayounganisha Miji ya Zhuhai na Jiangmen Mkoani Guangdong, Kusini mwa China imefunguliwa rasmi kwa matumizi jana siku ya Jumatano.
Barabara hiyo, yenye urefu wa kilomita takriban 31 huku sehemu yenye urefu wa kilomita 14 ikiwa juu ya bahari, inajumuisha madaraja makuu mawili, ambayo ni Daraja la Huangmaohai na Daraja la Bandari ya Gaolan.
(Wahariri wa tovuti:Zhou Linjia,Zhao Jian)
Kuhusu Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma