

Lugha Nyingine
Tarafa ya Tianfu ya Chongqing yageuza nyumba za vijijini kuwa nyumba za wageni zinazopendezwa (6)
(Tovuti ya Gazeti la Umma) Desemba 13, 2024
![]() |
Watalii wakifurahia chai na vitafunwa kwenye nyumba za wageni katika Tarafa ya Tianfu ya Wilaya ya Beibei, mjini Chongqing, kusini-magharibi mwa China, Desemba 11, 2024. (Xinhua/Liu Chan) |
Katika miaka ya hivi karibuni, Tarafa ya Tianfu ya Wilaya ya Beibei, mjini Chongqing, kusini-magharibi mwa China, yenye mandhari ya kipekee ya mazingira ya asili vilevile rasilimali nyingi za utalii wa kitamaduni katika maeneo yake ya pembezoni, imekuwa ikihimiza kuboresha mazingira na miundombinu ya vijijini.
Tarafa hiyo imegeuza nyumba za vijijini zisizo na wakazi kuwa nyumba za wageni zenye sifa bora, hali ambayo si tu inawapa watalii malazi yenye hali changamani ya vijijini, lakini pia inaleta fursa za ajira zenye mapato mengi kwa wanavijiji wenyeji.
(Wahariri wa tovuti:Zhou Linjia,Zhao Jian)
Kuhusu Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma