Shindano la 3 la Ufundi stadi wa Wafanyakazi wa Nchi za SCO laanza mjini Qingdao, Shandong, China

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Desemba 19, 2024
Shindano la 3 la Ufundi stadi wa Wafanyakazi wa Nchi za SCO laanza mjini Qingdao, Shandong, China
Watu wakishiriki kwenye Shindano la tatu la Ufundi stadi wa Wafanyakazi wa Nchi za Jumuiya ya Ushirikiano wa Shanghai (SCO) mjini Qingdao, Mkoani Shandong, mashariki mwa China, Desemba 18, 2024. (Xinhua/Li Ziheng)

Shindano la tatu la ufundi stadi wa Wafanyakazi wa Nchi za Jumuiya ya Ushirikiano wa Shanghai (SCO) limeanza jana Jumatano, Desemba 18 mjini Qingdao, Mkoani Shandong, mashariki mwa China, likishirikishwa na wafanyakazi kushindana katika programu tatu.

(Wahariri wa tovuti:Zhou Linjia,Zhao Jian)

Picha