Macao yafanya hafla ya kupandisha bendera ya kuadhimisha miaka 25 tangu irudi China

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Desemba 20, 2024
Macao yafanya hafla ya kupandisha bendera ya kuadhimisha miaka 25 tangu irudi China

Tarehe 20, Desemba, serikali ya mkoa wa utawala maalumu wa Macao ilifanya hafla ya kupandisha bendera, ili kuadhimisha miaka 25 tangu irudi katika nchi ya China. (Picha inatoka shirika la habari la China Xinhua)

(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)

Picha