Maonyesho ya 37 ya Kimataifa ya Sanamu za Theluji ya Kisiwa cha Jua yaanza majaribio ya uendeshaji huko Harbin, China

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Desemba 25, 2024
Maonyesho ya 37 ya Kimataifa ya Sanamu za Theluji ya Kisiwa cha Jua yaanza majaribio ya uendeshaji huko Harbin, China
Wafanyakazi wa kuchonga wakifanya kazi kwenye sanamu kubwa ya theluji katika Maonyesho ya 37 ya Kimataifa ya Sanamu za Theluji ya Kisiwa cha Jua huko Harbin, Mkoani Heilongjiang, kaskazini mashariki mwa China, Desemba 23, 2024. (Picha na Zhang Tao/ Xinhua)

Maonyesho ya 37 ya Kimataifa ya Sanamu za Theluji ya Kisiwa cha Jua yalianza majaribio ya uendeshaji Jumatatu.

(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)

Picha