Gansu Lanzhou: Kufurahia taa za rangi na kuukaribisha mwaka mpya (5)

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Desemba 26, 2024
Gansu Lanzhou: Kufurahia taa za rangi na kuukaribisha mwaka mpya

Desemba 24, 2024, katika Mtaa wa Zamani wa mji wa Lanzhou, mkoani Gansu umefanyika maonyesho ya taa yenye mada ya "Nchi nzuri ya China, Sura nzuri ya Jincheng" ili kuukaribisha mwaka mpya.

Katika maonyesho hayo ya taa, aina mbalimbali za taa za rangi zenye maumbo ya kipekee na zinazong'arisha zimewavutia watalii wengi kung'ang'ania huko kuzitazama na kupiga picha. (Picha na Chen Kun/vip.people.com.cn)

(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)

Picha