Macao yafanya maonyesho ya fataki ya kuadhimisha miaka 25 tangu irudi China

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Desemba 26, 2024
Macao yafanya maonyesho ya fataki ya kuadhimisha miaka 25 tangu irudi China
Fataki zikiangaza anga huko Macao, kusini mwa China, Desemba 25, 2024.

Macao ilifanya maonyesho ya fataki ya kuadhimisha miaka 25 tangu irudi China. (Picha na Cheong Kam Ka/ Xinhua)

(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)

Picha