

Lugha Nyingine
Sauti ya China-Afrika 2024 (4)
Mwaka 2024 ni mwaka muhimu kwa ushirikiano wa China na Afrika kuandika ukurasa mpya! Kuanzia maadhimisho ya miaka 60 tangu kuanzishwa uhusiano wa kidiplomasia kati ya China na Tanzania, hadi mkutano wa kilele wa Baraza la Ushirikiano kati ya China na Afrika (FOCAC) mjini Beijing, hadi Maonyesho ya Kimataifa ya Uagizaji Bidhaa ya China (CIIE) Mwaka 2024, sauti hizi halisi zinaonyesha mafanikio yenye manufaa mbalimbali ya kuendelea kuimarika kwa uhusiano kati ya China na Afrika. Iwe ni kauli za dhati za Balozi wa Tanzania nchini China au matarajio ya wanafunzi vijana wa Afrika kwa siku za baadaye, wote wanaeleza juu ya imani na matumaini ya China na Afrika kufanya kazi pamoja kwa manufaa ya pande zote. Hebu tufanye majumuisho ya Sauti za China-Afrika Mwaka 2024 na tusikilize kile walichosema!
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma