Lugha Nyingine
Sehemu mpya za barabara kuu ya pili ya Chongqing-Hunan zazinduliwa rasmi kwa usafiri wa umma
(Tovuti ya Gazeti la Umma) Januari 03, 2025
Barabara Kuu ya pili ya Chongqing-Hunan nchini China imeshuhudia sehemu zake za Banan-Wulong yenye urefu wa kilomita 127 na Pengshui-Youyang yenye urefu wa kilomita 91.6, zote zikiwa katika Mji wa Chongqing, kusini-magharibi mwa China zikizinduliwa rasmi kwa usafiri wa umma jana siku ya Alhamisi. Barabara Kuu hiyo nzima, yenye urefu wa kilomita 280, inatarajiwa kuanza kutumika kikamilifu ndani ya mwaka 2025.
(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)
Kuhusu Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma