Katika picha: siku ya kwanza ya kazi mwaka 2025 katika Mpaka wa Khunjerab mkoani Xinjiang, China

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Januari 03, 2025
Katika picha: siku ya kwanza ya kazi mwaka 2025 katika Mpaka wa Khunjerab mkoani Xinjiang, China
Lori likipita kwenye Mpaka wa Khunjerab katika Wilaya inayojiendesha ya Kabila la Watajik ya Taxkorgan, Mkoa unaojiendesha wa Kabila la Wauygur wa Xinjiang, kaskazini magharibi mwa China, Januari 2, 2025. (Xinhua/Hu Huhu)

Mpaka wa Khunjerab ni bandari ya nchi kavu kati ya China na Pakistan ambalo pia ni lango muhimu kuelekea Asia Kusini na Ulaya. Jana siku ya Alhamisi, Januari 2 ilikuwa ni siku ya kwanza ya kazi mwaka 2025 kwenye mpaka huo, ambao ulirekodi abiria zaidi ya 60, 000 waliingia na kuondoka China mwaka 2024, kwa mujibu wa Mamlaka ya Forodha ya Khunjerab. 

(Wahariri wa tovuti:Zhou Linjia,Zhao Jian)

Picha