Bandari kuu za China zawa na pilika nyingi mwanzoni mwa mwaka mpya

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Januari 06, 2025
Bandari kuu za China zawa na pilika nyingi mwanzoni mwa mwaka mpya
Picha hii iliyopigwa na droni ikionyesha magari yatakayosafirishwa kwenda nje ya nchi katika Bandari ya Yantai, mkoa wa Shandong, mashariki mwa China, Januari 2, 2025. (Picha/IC Photo)

Bandari kuu za China ziko katika pilika za shughuli nyingi mwanzoni mwa mwaka mpya.

(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)

Picha