Lugha Nyingine
Sarafu na noti za ukumbusho wa Mwaka Mpya wa 2025 zaanza kutolewa
(Tovuti ya Gazeti la Umma) Januari 06, 2025
Hii ni picha ya noti ya ukumbusho wa Mwaka Mpya 2025 iliyopigwa Januari 3. (Picha na Li Xin/ Xinhua) |
Siku hiyo, Sarafu ya shaba ya rangi mbili pamoja na noti za ukumbusho wa Mwaka Mpya wa 2025 zilizotolewa na Benki ya Umma ya China, zikianza kubadilishwa. Sarafu ya ukumbusho ina thamani ya Yuan 10, na idadi yake ya kutolewa ni milioni 100. Noti ya ukumbusho ina thamani ya Yuan 20, na idadi yake ya kutolewa pia ni milioni 100. Kupata Sarafu na noti hizi kwa watu kunafuata utaratibu wa kuagiza kabla ya kutolewa kwa sarafu na noti hizo.
(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)
Kuhusu Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma