Tamasha la 41 la Kimataifa la Barafu na Theluji la Harbin nchini China laanza rasmi

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Januari 06, 2025
Tamasha la 41 la Kimataifa la Barafu na Theluji la Harbin nchini China laanza rasmi
Mtembeleaji akipiga picha katika Bustani ya Dunia ya Barafu na Theluji ya Harbin huko Harbin, Mkoa wa Heilongjiang, kaskazini mashariki mwa China, Januari 5, 2025. (Xinhua/Wang Jianwei)

Tamasha la 41 la Kimataifa la Barafu na Theluji la Harbin limeanza rasmi jana Jumapili huko Harbin katika Mkoa wa Heilongjiang, kaskazini mashariki mwa China likiwa na kaulimbiu ya "Ndoto ya Majira ya Baridi, Upendo kati ya Watu wa Asia."

(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)

Picha